Image

Mfumo wa maombi ya Kitambulisho cha Taifa.

Hii ni huduma inayomuwezesha mwombaji wa kitambulisho cha Taifa (Raia au Mgeni mkazi) kujaza fomu ya maombi ya Kitambulisho cha Taifa kwa njia ya Kielektroniki akiwa mahali popote. Baada ya kujaza fomu hiyo, mwombaji atatakiwa kuichapisha (Print) na kuiwasilisha pamoja na vielelezo vingine katika Ofisi ya NIDA (wilaya) iliyo karibu naye kwa ajili ya kukamilisha usajili wa alama za biometria. SOMA ZAIDI »

Maelezo Ya Muhimu Kwa Mwombaji || Jisajili / Create Account || Ingia / Login

VIELELEZO VYA LAZIMA KWA RAIA VINAVYOHITAJIKA WAKATI WA UOMBAJI WA KITAMBULISHO CHA TAIFA



  1. Cheti cha kuzaliwa cha mwombaji
  2. Nakala ya cheti cha kuzaliwa / kiapo cha mzazi mmoja.
  3. Kama uraia wa mwombaji ni wakurithi: thibitisha kwa nakala ya cheti cha kuzaliwa au nakala ya kitambulisho cha Taifa cha mzazi mmoja.
  4. Kama uraia wa mwombaji ni wa kujiandikisha, thibitisha kwa nakala ya uraia wa kujiandikisha (Dossier Number) ya mwombaji.

LEGAL RESIDENT MANDATORY DOCUMENT FOR NIDA CARD APPLICATION



  1. Passport Number.
  2. Resident Permit / Work Permit